Wednesday, November 28, 2007

Habari na Karibu

Hapa ndipo patakuwa makazi mapya ya Blogu ya Mlenge Fanuel Mgendi. Hapa patakuwa ni sehemu ninayoeleza kuhusu mambo yangu binafsi na familia.

Blogu nyingine itabakia kuwa ya kuelezea masuala ya kitaifa, ambayo ipo hapa: http://mlenge.blog.com